Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mkurungenzi wa TBC, Dr Ayuob Ryoba amesema nchi nyingi duniani hutumia teknolojia kudhibiti baadhi ya mambo.
Amesema hayo akijibu hoja ya mmoja wa washiriki wa Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari ambaye alihoji nini kilitokea 2020 Oktoba ambapo mitandao ya kijamii ilikuwa haipatikani.
Hayo yamehojiwa baada ya wazungumzaji kuweka kuzungumzia Information na Disinformation