Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Taifa la Zanzibar ndiyo kimbilio la huyu mkoloni uchwara, shangingi muuaji wa Watanganyika.Huku bara pameshakuwa pa moto naona ana Amani zaidi akiwa nchini kwao
Obviously walikubaliana watafune kungu-manga kabla ya kuingia kwenye kikao hicho haramu.Ona Wanzanzibar wanavyorembua.
Katiba ni kijitabu tu.Hivi katiba inasemaje juu ya mambo haya Rais wa bara kuhamia zanzibar?
Non legitMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Zanzibar tarehe 25 Januari, 2026.
Wapi Nchimbi. Halafu mbona samia hatunii nembo ya TaifaMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Zanzibar tarehe 25 Januari, 2026.
Ni macho yao yalivyo hivyo wamezoea kula vyakula rojorojoOna Wanzanzibar wanavyorembua.
KwazenaNchimbi yupo kwa wapi? Simuoni.
Kwani ni legit?Wapi Nchimbi. Halafu mbona samia hatunii nembo ya Taifa
Duh! AiseeeKwazena