Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Ametuma salamu kwa Wanachama wote wa CCM nchi nzima na kuwakumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Mpiga kura ili waweze kupiga kura muda ukifika.