Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,278 Reaction score 797 Jan 20, 2025 #1 Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Ametuma salamu kwa Wanachama wote wa CCM nchi nzima na kuwakumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Mpiga kura ili waweze kupiga kura muda ukifika. Your browser is not able to display this video.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Ametuma salamu kwa Wanachama wote wa CCM nchi nzima na kuwakumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Mpiga kura ili waweze kupiga kura muda ukifika. Your browser is not able to display this video.
Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Jan 20, 2025 #2 Hapo ndio wanachama wa CCM wameambiwa they are too young to die