BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
DKT. SAMIZI AENDELEA NA ZIARA YAKE KATA YA NYARUYOBA, AHAMASISHA SENSA NA KUFUATILIA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM.
Kazi Inaendelea Jimboni Muhambwe Mkoani Kigoma ambapo Mbunge Mhe. Dkt. Florence George Samizi Jana Jumatano Julai 20, 2022 alifika Kata ya Nyaruyoba kuzungumza na Wananchi katika mwendelezo wa ziara yake Jimboni ya kusikiliza kero za Wananchi, kuhamasisha Sensa na kadhalika.
Mkutano wa hadhara Nyaruyoba umekua na mafanikio makubwa sana ambapo pamoja na mambo mengine Mhe Mbunge alipata nafasi ya kuwahamasisha na kuwakumbusha Wananchi umuhimu wa Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Agosti 23 Mwaka huu.
Pia, alifuatilia Utekelezaji wa Ilani ya Chama na kuipongeza sana Bajeti ya Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kujali maslahi zaidi ya Watanzania wa chini.
#Muhambwekaziinaendelea