BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
DKT. SAMIZI AFANYA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 3 UJENZI WA NYUMBA YA MGANGA WA KITUO CHA AFYA.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amefanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi kata ya Usagara Jimboni ambapo pamoja na mambo mengine ameweza kuchangia ujenzi wa nyumba ya Mganga wa kituo cha afya Usagara kwa kutoa mifuko 50 ya saruji, mabati 80 na million 3 kama sehemu ya gharama za mafundi. Yote ni katika juhudi za kuunga mkono jitihada za Dkt. Samia Suluhu Hassani🇹🇿
#WachaKaziIndelee