kwa bahati mbaya waha hawapendi maigizo ya macamera kama hayo huyo mama 2025 watamkataa kwa asilimia 100 kwani malakamiko yao ni miundo mbinu ya barabara ambayo nikilio chao cha kila mwaka kibondo ni wilaya mbovu kuwahi kutokea kwa miundo mbinu mibovu hasa barabara na hospitali nilipita hapo hapafai kabisa pesa za halmadhauri zinatafunwa utadhani serikali haina mawasiliano na wilaya hiyo! nakumbuka kipindi cha jpm akiyekuwa waziri wa ujenzi professor mbalawa tulipita naye huko na kwenda kijiji kimoja kiitwacho mkalazi tulikuta madudu kibao yani mkoa huo serikali haina mawasiliano kabisa pabovu sana na sidhani kama wabunge wao wanaishi mkoa huo.