Ujinga ndiyo unawaponzaSababu ndo siku nzuri
Ujuaji mwingi mbele giza,hujamuelewa mleta mada kabisaKuandamana maana yake ni kutembea kwa miguu, sasa tangu lini mtu akampangie mwingine kutembea kwa style yake , siku yake na kwa namna yake na tarehe yake inayofaa? waacheni watembee hata kwa mikogo. Musiwapangie kutembea tarahe yeyote ile... waacheni watembee maana hata nyie munaweza pia kutembea kwa namna inayofaa na itakayo wapendeza nyie wenyewe...
Ingetakiwa ajue kwanza lengo la maandamano NiniDkt. Shaimaa Mohamed kutoka London Hospital iliyopo mkoani Dar es Salaam, katika Kongamano la Wanawake wa Dar es salaam, linalofanyika leo Oktoba 26, 2025, katika ukumbi wa mikutano wa DYCCC, Chang'ombe, ameelezaa kuwa hatua ya kutaka kufanya maandamano siku ya kupiga kura ni ishara ya kuwa maandamano hayo hayana heri
"Maandamano yanaruhusiwa kisheria, lakini mimi niweze kuwaambia wenzangu wanaopanga kufanya maandamano, maandamano yanaruhusiwa lakini kwanini siku ya uchaguzi ndio mpange kufanya maandamano? inamaana hayo maandamano hayana heri." amesema Dkt. Shaimaa.
Huyo Dk wako ilitakiwa ajue kwanza lengo la maandamanoUjuaji mwingi mbele giza,hujamuelewa mleta mada kabisa
Hii imekaa poa sana 🙂Sababu ataijua siku hiyo hiyo.
Hoja yake umeielewa?Ingetakiwa ajue kwanza lengo la maandamano Nini
Dk inatakiwa uwe na uwezo wa kuchambua ishu TU
Sio unauliza vitu kama vya malayman
Tutakutana humu tena kwa mrejesho mtakapokuwa mmefanikiwa labda muandamanie jf humuTumeamua hiyo siku maana ni siku nzuro sana kwetu na ni siku ya amani sanaaa
Lengo si ni nrne au mmebadirisha?Huyo Dk wako ilitakiwa ajue kwanza lengo la maandamano
Inabidi iwepo tume ya kuchunguza hao wanajiita madokta kama wanakidhi
Tutakutana humu tena kwa mrejesho mtakapokuwa mmefanikiwa labda muandamanie jf humu