Dkt shika kanipa elimu mujarabu na nimefanikiwa,

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Kuna nadharia aliitoa Dr shika kuwa ukimtizama aliyelala usoni anaamka kusema kweli nilifanyia tafiti nadharia hio hapa nyumbani na kweli nilimtizama jamaa aliyesinzia usoni akaamka,ase huyu jamaa tusimchukulie poa yupo vizuri ana madini.

Kuna nadharia nyingine kasema ukiwaona mbwa bana makende watatulia tu ,hii nadharia nataka niifanyie utafiti je ni kweli au laa ili nipime kama huyu dkt ni mkweli au mbabaishaji kama watu wanavyodai ,kesho usiku nitaenda upanga kwenye mahala panapolindwa na mbwa wakali njia ya las Vegas ile kuna majibwa weusi wengi .halafu nitaleta mrejesho kama hii nadharia ni kweli au uongo ili ni mpuuze dkt na niungane na wale wanaosema amedata

Dkt sio wa mchezo mchezo
 
kesho usiku nitaenda upanga kwenye mahala panapolindwa na mbwa wakali njia ya las Vegas ile kuna majibwa weusi wengi .halafu nitaleta mrejesho kama hii nadharia ni kweli au uongo ili ni mpuuze dkt na niungane na wale wanaosema amedata
Kila la kheri mkuu
 
Kuna nadharia aliitoa Dr shika kuwa ukimtizama aliyelala usoni anaamka kusema kweli nilifanyia tafiti nadharia hio hapa nyumbani na kweli nilimtizama jamaa aliyesinzia usoni akaamka,ase huyu jamaa tusimchukulie poa yupo vizuri ana madini.

Kuna nadharia nyingine kasema ukiwaona mbwa bana makende watatulia tu ,hii nadharia nataka niifanyie utafiti je ni kweli au laa ili nipime kama huyu dkt ni mkweli au mbabaishaji kama watu wanavyodai ,kesho usiku nitaenda upanga kwenye mahala panapolindwa na mbwa wakali njia ya las Vegas ile kuna majibwa weusi wengi .halafu nitaleta mrejesho kama hii nadharia ni kweli au uongo ili ni mpuuze dkt na niungane na wale wanaosema amedata

Dkt sio wa mchezo mchezo
Hapo kwenda kwenye mbwa kila la kheri hata ukidhurika usisahau kutujuza ,

Samahani joseverest
 
Huyu jamaa hajaleta mrejesho wa majimbwa, nadhani hayo majimbwa yaliondoka na kende yake moja...
 
Back
Top Bottom