Dkt. Shoo: Kanisa litaendelea kutoa waraka

Baraka Mina

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2020
Posts
586
Reaction score
590
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Fredrick Shoo akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT jijini Arusha amesema kanisa litaendelea kukemea yale yote ambayo yapo kinyume.

Katika kufanya hivyo, kanisa lisihesabike kuwa linachanganya dini na siasa bali Serikali ione kuwa ni sehemu ya kujitafakari.
 
Waovu na mafisadi lazima wakemewe
 
Duuh amesema hayo mbele ya Rais au?
 
Sawa uzuri amesema Kanisa sio mshindani wa Serikali Bali ni mshirika
 
... tafsiri ya udini kwa mujibu wa CCM ni kukemea uchafu na ufisadi wao! Kwao hilo ni udini ila kuunga mkono juhudi ni perfect! Haya majitu haya!
 
JK amepewa haki yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…