Pre GE2025 Dkt. Slaa anavuna alichopanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani katika watu niliowahi kuwaombea lolote liwakte ni Dr. Slaa....aliumiza watu wengi sanaa kuhamia ccm alafu sasa akawa anaitisha press na kuponda kisawasawa mpaka akaja na msemo wa kula mihogo.....

Pamoja na hayo yote lakini bado aliendelea kutolea mbovu viongozi wa chadema kwa kesema Mbowe ndo anayeteka watu hivyo ni gaidi na Liss alipigwa lisasi na Chadema...yaani aliamua kutunyea...Karma bwana hehehee
 
Aliondoa professionalism yote aliyokua nayo kwa kutetea mfumo dhalimu sasa leo unamshughulikia
 
acha lifungwe na lifie huko
 
Pamoja na hayo bado ana haki zote kisheria kupata dhamana mahakamani.
 
Lissu anasemaje? Mwabukusi jee? Si alikua Akifanya kazi yao?? Leo mbona hamna harakati Za kumkomboa?? Si ilisemwa humu Lissu ndo Kiboko ya Samia?? Vipi asimuokoe Slaa?
Slaa alimsema vibaya lissu alipopigwa risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…