Dkt. Slaa aomba radhi kwa hoja yake “Ripoti ya CAG inapotoshwa’, Zitto Kabwe atoa neno

Huyuu mzee asemehewe akili zake zimeruka.

Bado hajaomba radhi kuwasingizia chadema ni watekaji.

Aliparamia kesi ya Mbowe mwishoe akaaibika.

Na hili tena kaambulia aibuu.
 
Babu Dr. Wilbrod Slaa, chama kongwe dola kitakuaibisha kwa kukutuma uichafue CHADEMA bila ushahidi wowote wa jinai kutendeka

 
Hata katiba ikishuka mbinguni aiwezi kukuletea chakula nyumban katiba bill Kaz syo kitu
 
 
Ila hajaomba radhi wala kukanusha kuhusu Chadema kutekana.
 
HV mtu akiomba radhi anaonekana amechanganyikiwa jmn mbna Dr slaa amefanya Jambo la kiungwana la kuigwa ila hap anatukanwa na wanachadema siyo sawa Wal haki mtu akiomba radhi Ni Jambo jema San mwacheni babu was watu bhna
 
HV mtu akiomba radhi anaonekana amechanganyikiwa jmn mbna Dr slaa amefanya Jambo la kiu

Bahati yake hayo anayofanya ni siasa, amasivyo angefunguliwa kesi kama za kina Musiba alipe fidia ya mabilioni kwa waathirika kwa habari kibao potovu anazozungumza Mzee Dr. Wilbrod Slaa ashukuru ana mlango wa kujitetea kuwa ni siasa tu
 
Hata katiba ikishuka mbinguni aiwezi kukuletea chakula nyumban katiba bill Kaz syo kitu
Unadhani wanaopigania Katiba Mpya wanawaza tumbo kama wewe na Dr. Slaa?

Wanaoipigania Katiba Mpya wanaifikiria future ya vizazi vijavyo hapa Tanzania, wafurahie kuitwa watanzania, na wasibaguliwe kwa namna yoyote ile, muhimu zaidi, haki ya wengi ya kumchagua wamtakae iheshimiwe.
 
How come ubaki na sheria ya 2009 kichwani mwako na kuanza kuropoka vitu usivyo na uhakika navyo in Public mwaka 2022?

Mzee Slaa tulikuheshimu sana, ila sasa umeridhia tukupokonye heshima tuliyokupa.

Msikilize hata anachoongea nyingi ni historia za kipindi anatamba, sasa analazimisha kubaki relevant kwa sifa za kipindi anatamba. Wanaomtumia wanamuagiza atumie sifa zake za huko nyuma wakidhani atapata mvuto tena. Mzee naye kwakuwa kapoteza ramani anayavaa kichwa kichwa hayo maagizo.
 
Kwahio walishiriki / walitaka tuwe na Sheria nyonyaji kama hio ?

Kweli kikulacho kinguoni mwetu....
 
Kuna dalili zote huyu babu ana dementia
 
HV mtu akiomba radhi anaonekana amechanganyikiwa jmn mbna Dr slaa amefanya Jambo la kiungwana la kuigwa ila hap anatukanwa na wanachadema siyo sawa Wal haki mtu akiomba radhi Ni Jambo jema San mwacheni babu was watu bhna

Ameambiwa muda mrefu akae kimya kwani hana jipya lakini hasikii, analazimisha kubaki kwenye game ndio maana anajichoresha.
 
Huyu Mzee si ndio alituambia amestaafu siasa? Ubalozi na ripoti ya CAG vinahusiana nini. Au anawakilisha ripoti ya CAG nje ya nchi?
 
Babu wa mihogo bwana!!! Si akae kimya tu!!! Au ndiyo kick!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…