Dkt. Slaa aomba radhi kwa hoja yake “Ripoti ya CAG inapotoshwa’, Zitto Kabwe atoa neno

Hata katiba ikishuka mbinguni aiwezi kukuletea chakula nyumban katiba bill Kaz syo kitu

Na kazi Bila katiba hakuna kitu. Kasome katiba imetoa Haki ya ujira, unalipwa ujira kwa sababu ni kanuni ya katiba. Bila katiba kill mtu atafanya anavyojieleza na kuumiza wengine.
 
Huyu padri muongomuongo sana. Alijiona anajua kila kitu ye aseme tu hajui sio kwamba alikuwa anafanya kazi sheria ambayo haikufakamilika . Lipuuzi kabisa anatulisha matango mwitu.
 
Sisi wamakonde tunasema mkubwa akivuliwa nguo basi anatakiwa achutame. Mzee Dr. Slaa amechutama, acheni kumtupia mawe anaweza kuanza kukimbia bila nguo na watoto wakaona aibu yake. Ni uungwana kuomba radhi.

Mwanasheria ananiambia alichofanya Dr Slaa ni ku refer a dead section of the law.
 
Sikitiko la mahaba linazidi la msiba, aliimba banana zorro, huyu babu padiri slaa anaugulia maumivu ya kutoswa na mchumba wake mshumbushi, Nampa pole sana babu yetu padiri slaa.
 
Ila hajaomba radhi wala kukanusha kuhusu Chadema kutekana.

Nashangaa unamuamini mzee Slaa, huyu aliyeingia kichwa kwenye kesi ya Mbowe akaishia kupata aibu. Seema tu chadema wamenyamaza wanamheshimu Sana ndio maana hawajamjibu.
 
Huyu mzee hayuko sawa
 
HV mtu akiomba radhi anaonekana amechanganyikiwa jmn mbna Dr slaa amefanya Jambo la kiungwana la kuigwa ila hap anatukanwa na wanachadema siyo sawa Wal haki mtu akiomba radhi Ni Jambo jema San mwacheni babu was watu bhna

Kama Hana uhakika na Jambo awe ana kaa kimya. Mtu anaongea tu na hajui anachoongea. Una cite sheria ya mwaka 2009 wakati Ni mwaka 2022. Kama sio ujinga na kujimwabafy Ni Nini?. Aliabika kesi ya Mbowe , leo kaabika tena kwenye issue ya CAG. Tunasubiria issue ya Lissu na Katiba mpya.
 
Jamani 😂😂

 
Ni makundi gani hi katiba ya Sasa imewabagua kiongozi mnk am sure hata hi ya Sasa huijui na ujawai kusema umedandia tu hoja ya katba mpya bila kujua hi Sasa ina dosari gani


Eti future ipi wew au Ni mihemko tu inakusumbia
 
Anavunga wanadai nguvu kubwa inatumika kuvunja sifa yamagu lakini nachoona Mimi ni nguvu kubwa inatumika kuziba mtakatifu asionekane namakosa haswa ufisidi kwahiyo kibabu kimeona kinachemka ubalozi kimetoka juzi eti hakijui sheria inayofanya kazi liongo hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…