Dkt. Slaa aomba radhi kwa hoja yake “Ripoti ya CAG inapotoshwa’, Zitto Kabwe atoa neno

Ningeambiwa nimshauri dr. slaa. ningemshauri akae kimya. aendelee kula mihogo yake. namuheshimu sana dr. slaa. ila anajishushia hadhi yake kwa kufikiri anaouwezo wa kuibomoa chadema.
 
Kweli angetulia asome upepo.sidhani gata kama ccm wanamtaka.
 
Huyu babu kaachwa na Josephina, he is devoted sasa kachanganyikiwa 😂😂
 
Kuna siku ataomba radhi na kusema, sikuwa najua kama Magufuli alikuwa anafanya hayo. Mimi nikikuwa nafanyia kazi yule Magufuli wa Wizara ya ujenzi. Itunzeni comment hii.
 
Uzuri huyu mzee haamini tena alishapitza legacy yake kitambo
 
Slaa amechambuaje kuhusu mauji ya Lissu?
 
HV mtu akiomba radhi anaonekana amechanganyikiwa jmn mbna Dr slaa amefanya Jambo la kiungwana la kuigwa ila hap anatukanwa na wanachadema siyo sawa Wal haki mtu akiomba radhi Ni Jambo jema San mwacheni babu was watu bhna
Hivi ni kweli kaachwa![emoji23]
 
Ni makundi gani hi katiba ya Sasa imewabagua kiongozi mnk am sure hata hi ya Sasa huijui na ujawai kusema umedandia tu hoja ya katba mpya bila kujua hi Sasa ina dosari gani


Eti future ipi wew au Ni mihemko tu inakusumbia
Nimecheka tu nilivyokusoma ulivyoandika hivi;

" Manake am sure hata hii ya sasa huijui na aujawai kusema umedandia tu hoja yakatiba mpya bila kujua ya sasa ina dosari gani"

Nimecheka kwa ulichoandika halafu nikakusikitikia, pole sana mdogo/kaka yangu, usiwe unafanya kazi ya utabiri jf itakushinda, huku tembea na hoja tu.
 
Umoja party itawadhalilisha kweli,maana maneno mengi anayo ongea Yana walakini.kama ndio mlioandaliwa kutengeneza njia ya hicho chama .kitakua kimefeli kabla ya kusajiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…