Dkt. Slaa ashauriwe

Ohooooo
 
Laana ya Usaliti usipime !
 
Huyo Dr. Slaa ni mtu wa ajabu sana, Amezoea uongo, ni muongo na mzandiki, Anabisha hakulala kwenye gari baada ya kufukuzwa na Mushumbuzi, wakati alifukuzwa na Mushumbuzi na kila mtu aliona. Hana adabu huyo mchumia tumbo lake. Alishapoteza hekima tangu alipoacha upadri.
 
Ndio walio mpa sumu Mangula wakiwa kikaoni na kumuua Kolimba
Panua akili akili zako ndugu.. Kwa hiyo wewe ukikamata mwizi leo utasema ndie aliekuibia mwaka juzi pia?
Hivi chadema mmekuaje lakini???
Chadema mna mambo yenu yanajulikana
Ccm wana mambo yao yanajulikana
Jibu hoja usilete vioja
 
Hivi ukiitwa mpumbavu utasema umetukamwa?
 
Stress bza kushindwa kumhudumia Mushumbusi ambaye hawezi kuishia kula mihogo ndio inayp msumbua. Slaa bado anadhani kuinanga Chadema itampa uteuzi fulani kama Mrema, Gerkul,Katambi nk kama ilivyokuws wakati wa Mwendazake
 
Kwa anayoyafanya hata waliokuwa waumini wake lazima wazidi kujitenga nae.
 
Sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…