Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nini hiki Mkuu? Mnapoleta mada hapa muwe mna'assume' kuwa mnalolileta halijulikani kabisa na wanajamvi na si kinyume chake. Bure kabisa!
Mkuu sikujua kwa uelewa wetu humu hili la Dr. Slaa kusema kule Marekani katiba yao ina ruhusu kumshitaki rais mstaafu kwa mjibu wa clip ya Jambo TV. Kwenye hiyo barua inaonyesha hakuna rais mstaafu wa Marekani alishawahi kushitakiwa mahakamani ila wanajaribu kufanya hivyo kwa Bw. Trump.Ni nini hiki Mkuu? Mnapoleta mada hapa muwe mna'assume' kuwa mnalolileta halijulikani kabisa na wanajamvi na si kinyume chake. Bure kabisa!