Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Nani anaaminika na kukubalika zaidi ndani ya chadema na anaweza kua na nafasi nzuri zaidi ya kupewa fursa ya kubeba jukumu hilo muhimu la kupeperusha bendera ya chama hicho, kati ya mwenyekiti wa chadema taifa wa sasa na aliewahi kua katibu mkuu wa chadema taifa?
Au tutegemee siasa za chuki zaidi zilizopoteza uelekeo na kushuhudia muendelezo wa migawanyiko, utapeli wa pesa na kupinga misingi ya kuanzishwa kwa chadema kama vile kususia uchguzi, na kujiepusha kabisa na michakato ya kidemokrasia mathalani kushiriki na kushinda uchguzi na hatimae kuongoza serikali?🐒
Mungu Ibariki Tanzania