mchuano lakini unauonaje baina yao ndani ya chadema?Nyinyi mumsubiri tu Tundu Lissu ili awanyooshe. Dr. Slaa atakuwa kwenye timu ya kampeni.
Nonsense.Wote wana tamaa ya Madaraka Lissu na Slaa hii ni hatari. Asipoangalia Lissu atakipoteza chama na CCM wataendelea kuwatupia punje kuku ili wawakamate na kuwachinja. Wanachama kuweni macho na Dr Slaa
waTanzania kila kona ya Tanzania wanamuamini na kumpenda sana Dr.Samia Suluhu Hassan regardless ya kiwango cha elimu zao,Huwezi kujadili mambo makubwa kama haya kwa elimu yako ya darasa la 7.
saa100 ameshindanishwa na nani huko chichiemuNani anaaminika na kukubalika zaidi ndani ya chadema na anaweza kua na nafasi nzuri zaidi ya kupewa fursa ya kubeba jukumu hilo muhimu la kupeperusha bendera ya chama hicho, kati ya mwenyekiti wa chadema taifa wa sasa na aliewahi kua katibu mkuu wa chadema taifa?
Au tutegemee siasa za chuki zaidi zilizopoteza uelekeo na kushuhudia muendelezo wa migawanyiko, utapeli wa pesa na kupinga misingi ya kuanzishwa kwa chadema kama vile kususia uchguzi, na kujiepusha kabisa na michakato ya kidemokrasia mathalani kushiriki na kushinda uchguzi na hatimae kuongoza serikali?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
chadema ni nyumba ya demokrasia haiogopi mchuano kama mafisiemumchuano lakini unauonaje baina yao ndani ya chadema?
usitake watu wote waongelee unachokipendajikite kwenye hoja gentleman, usibabaike
mbona unabaaika na kumbwelambwela nazo sasa gentleman?Acha kupotezea muda watu na threads zako za hadithi za Alfu lela ulela, Kalumekenge na hadithi za Esopo!
Chadema zina utaratibu wa kuigwa kumpata mgombea na zitafuatwa na kuzingatiwa.
Sio huko kwenu asiko pewa nafasi mtu yeyote hadi Mzanzibar ambaye hajawahi kushindanishwa na yeyote anajiteua na kujipitisha na hakuna kuhoji, ukihoji unafukuzwa chama au kama una influence kama January unaitwa jukwaani unakumbatiwa na kupetiwapetiwa eti "umerudishwa na mama" kisha woooote mnachekelea kama mazuzu!
Khaa! Hilo limbwata mlilolishwa ni next level.