Pre GE2025 Dkt. Slaa: Makosa yanayofanywa na serikali yanatupa nafasi ya kujulikana dunia nzima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dkt Wilbroad Slaa ameeleza kuwa makosa yanayofanywa na serikali yanawapa wao (wapinzani) nafasi ya kutambulika dunia nzima, mathalani yeye kufungwa kwake kumpa nafasi ya kwenda kuzungumza na watu mbalimbali ulimwenguni na kujulikana hata na wasiokuwa wanamfahamu.
Your browser is not able to display this video.

Soma pia
 
huyu mzee anatafuta sababu ya kuondokea duniani wa kumwangalia sana huyu usijeambiwa umemuondoa kumbe alikuwa anatafuta sababu
 
huyu mzee anatafuta sababu ya kuondokea duniani wa kumwangalia sana huyu usijeambiwa umemuondoa kumbe alikuwa anatafuta sababu
Yuko zaidi ya miaka 70 ameshatimiza miaka ya ahadi hadaiwi. Jitafakari sana kama hujafikia umri wake.
 
huyu mzee anatafuta sababu ya kuondokea duniani wa kumwangalia sana huyu usijeambiwa umemuondoa kumbe alikuwa anatafuta sababu

Wala haiwezi kushangaza, kama utatangulia wewe kabla yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…