Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Mar 5, 2025 #21 FaizaFoxy said: Allah amrehem BI kidude. Click to expand... Acha kujitoa ufahamu, unajua ninachozungumza
FaizaFoxy said: Allah amrehem BI kidude. Click to expand... Acha kujitoa ufahamu, unajua ninachozungumza
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Mar 5, 2025 #22 FaizaFoxy said: Huyu mzee bado ana akili za kitumwa. Click to expand... BB KIZEE NDYE MWENYE AKILI HYO
FaizaFoxy said: Huyu mzee bado ana akili za kitumwa. Click to expand... BB KIZEE NDYE MWENYE AKILI HYO
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Mar 5, 2025 #23 Tusubiri kibabu Kiwataje tena usalama wa taifa…. Atajua kwanini osama aliishi pangoni
yutu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 1,668 Reaction score 1,017 Mar 5, 2025 #24 FaizaFoxy said: Huyu mzee bado ana akili za kitumwa. Click to expand... Mzee mwenzako
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Mar 5, 2025 #25 FaizaFoxy said: Huyu mzee bado ana akili za kitumwa. Click to expand... Tofauti yako na yake ni aina ya mabwana wanaowatumikisha. Yeye na Wagala...wewe unatumikishwa na wajomba...wote watumwa
FaizaFoxy said: Huyu mzee bado ana akili za kitumwa. Click to expand... Tofauti yako na yake ni aina ya mabwana wanaowatumikisha. Yeye na Wagala...wewe unatumikishwa na wajomba...wote watumwa
A August JF-Expert Member Joined Jun 18, 2007 Posts 9,327 Reaction score 5,206 Mar 5, 2025 #26 FaizaFoxy said: Kujulikana duniani kunamsàidia nini zaidi ya kuwa omba omba? Click to expand... Hivi ni nani mwenye kuendesha rasilimali zetu, lakini kila kukicha ni viguu na njia kuomba omba, wakati huyu hana kitu lakini anazushiwa kuomba omba si usubiri
FaizaFoxy said: Kujulikana duniani kunamsàidia nini zaidi ya kuwa omba omba? Click to expand... Hivi ni nani mwenye kuendesha rasilimali zetu, lakini kila kukicha ni viguu na njia kuomba omba, wakati huyu hana kitu lakini anazushiwa kuomba omba si usubiri
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Mar 5, 2025 #27 FaizaFoxy said: Kujulikana duniani kunamsàidia nini zaidi ya kuwa omba omba? Click to expand... Hata nchi inafahamika dunia nzima lakini ni ombaomba.
FaizaFoxy said: Kujulikana duniani kunamsàidia nini zaidi ya kuwa omba omba? Click to expand... Hata nchi inafahamika dunia nzima lakini ni ombaomba.