mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Dtk. Wilbroad Slaa akihojiwa na Clouds TV amedai kuwa mmoja wa waanzilishi wa CCM na alikuwa kiongozi. Amesema kwa wakati ule kulikuwa hakuna namna ya kutokuwa TANU.
Nimekuwa katbu waTANU tangu mwaka 1973 hadi 1977. NaTANU ilipogeuka kuwa CCM, mimi ni mmoja wa waanzilishi wa CCM mpaka 1978.
Nilikuwa kiongozi hata nikipokwenda Roma baadaye nilikuwa katibu wa shina la tawi la Wizara ya Mambo ya Nje na kule Italia nilikuwa pia Katibu wa TANU. Na wakati huo ndio ulikuwa muundo wa maisha, ulikuwa huwezi kuwa chochote lazima ilikuwa uwe ndani ya TANU na hata kwenda Ulaya kilichokuwa kinaangaliwa ni kadi ya TANU.