Tetesi: Dkt Slaa, Msigwa, Silinde, Nassari, Mwambukusi na wenzao wengi wakiwemo Covid 19 kurejea CHADEMA baada ya John Heche kuchukua udhibiti CHADEMA

Amejidhatiti vip fisiemu wasimshambulie kwa risasi kama alivyoshambuliwa Lissu ?
 
Mdogo wangu Heche ajifunze kutoka kwenye Historia Bw. MALLYA bado yupo CHADEMA na Watu wazima tunajua CHACHA WANGWE Mkurya mwenzake na HECHE alianza hivi hiviiii mwaka 2008 tukawa tunamuonya hakuskia. Kilichofuata Mallya akapeleka KILIO TARIME.

Heche achana na Hiii ndoto. Hivi vyama vya Siasa Tanzania ni Taasisi za Jamii fulani na Familia zao.

Nenda kule TLP Mzee Mrema kafariki Chama amemkabidhi mpwa wake anaitwa LYIMO. Wiki jana huyo Lyimo kapiga Viongozi wenzake kawaambia hawatambui yeye ndiye aliyerithi Chama toka kwa Mjomba ake! Sounds like ni comedy lkn ndio uhalisi.

Heche unatafuta shimo la futi 6!
 
Wajaomba wa mzee Mbowe acheni kutoa mapovu

..uwezo unazidi kupungua.

..fikiria toka Mwalimu Nyerere mpaka Dr.Samia.

..Pius Msekwa mpaka John Nchimbi.

..Ngombale Mbwiru mpaka Amos Makala.
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sasa sijui ni chaguzi gani unaongelea.
 
Propaganza za kizee mno, huyo Mbowe angefanya mauji wala msingehangaika kumbambikizia kesi, bali mngekuwa mmepata sehemu sahihi ya kumfunga.
 
Kwani mna uhakika kuwa mbowe anamaliza muda wake?
Hapo tu mbowe ni mwenyekiti wa kudumu je, akipewa urais si ndio kama mugabe?
 
Propaganza za kizee mno, huyo Mbowe angefanya mauji wala msingehangaika kumbambikizia kesi, bali mngekuwa mmepata sehemu sahihi ya kumfunga.
Sawa MKUU hebu kwa kifupi sana elezea kifo cha Chacha Wangwe ili niachane na propaganda
 
Sawa MKUU hebu kwa kifupi sana elezea kifo cha Chacha Wangwe ili niachane na propaganda
Kesi yake iliendeshwa kwenye mahakama hizihizi za ccm, kama ulikuwa na ushahidi wa usemalo ugeupeleka. Ila kwakuwa ww ni bendera fuata upepo huna lolote ujualo.
 
John Heche ni powerful ataweza. Maccm hayahitaji majadiliano yanahitaji mabavu mabavu na jino kwa jino
We thought Chacha Wangwe was brave and powerful, what happened to him?
 
CDM ina raslimali watu hasa vijana wengi wasomi, wazalendo na wenye weredi, haya matapishi yanafaa yakaliwe ACT wazalendo.
 
CDM ina raslimali watu hasa vijana wengi wasomi, wazalendo na wenye weredi, haya matapishi yanafaa yakaliwe ACT wazalendo.
Naona vijana wa Mbowe mnahasira sana, Kweli unaweza kumwita Heche tapishi halafu wewe ni nani?
Kukao na limwenyekiti miaka 30 inafaa kweli?
 
Naona vijana wa Mbowe mnahasira sana, Kweli unaweza kumwita Heche tapishi halafu wewe ni nani?
Kukao na limwenyekiti miaka 30 inafaa kweli?
Mwaka huu tumejipanga, masuala ya form MOJA eti utamaduni wetu hilo halipo, chawa fikisha ujumbe kwamba mambo si swari. Vikao vinaendelea.
 
Yaani Nassari ni DC na Silinde ni Waziri! Waache nafasi hizo zenye hela warudi CHADEMA kwenye mabenchi, wakati huenda walinunuliwa kwa bei kubwa?
Hizo ni tetesi kutoka kwenye vijiwe vya Lumumba na Makumbusho!
 
Muongo mkubwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…