Dkt. Slaa punguza kisebusebu wewe ulinunuliwa na CCM kuhujumu CHADEMA

Dkt. Slaa punguza kisebusebu wewe ulinunuliwa na CCM kuhujumu CHADEMA

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Huyu amekuwa akijiona ni mkamillifu sna na mjuaji kinoma yeye ameusika moja kwa moja kuhujumu chadema na hata saulika Leo amekuja naanza kuleta chuki zake na ukatoliki wake kwenye siasa za chadema huku akiwa ni msaliti namba moja

Akumbuke alihongwa pesa ili kuivuruga chadem

Leo ameibuka amenza kumshambulia mwenyekiti mbowe na huku akikataza wajumbe wasimuunge mkono na wampe kura lisu a huku alitka mbowe aaondoke na hujui kuwa mbowe ana haki kama mwanacham yoyote yule kugombea nafasi yoyote iliyopo wasi Leo hii nawashmgaa wanachadema wa mtandaoni hamtaki uchaguz uamuliwe kweny sanduku badala yake mnaka mwenyeki mbowe aaondoke ili urudi kuleta upuz wako

Nashangaa Leo hii wee umejeuka kuwa msemaji wa chadema na mtoa mikakati wakat uliwasaliti njiani kuelekeaa uchaguzi wa 2015

Kifupi ni sema wee ni tapeli wa siasa na ni mtu mwenye tamaa, roho mbya, husda na ni ni mtu mnafiki namba moja kwenye taifa hili


Chadema haitakufa na itaendelea kuwepo bila wee wala lisu au mwingine yoyote yule chama hiki ni Taasis ya umma siyo sehemu ya kuja kufuruga na kina silaa na paster kinyambe
 
Back
Top Bottom