Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Dkt. Wilbroad Slaa akizungumza kwenye mahojiano na Crown FM amesema "Sijavuliwa ubalozi, ni nyie mnasema hizo taarifa niliziona kwenye vyombo vya habari" baada ya kuulizwa kuhusu taarifa za kuvuliwa kwake ubalozi na Rais Samia.
Soma: Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa
Novemba 2017 aliteuliwa na Hayati John Magufuli kuiwakilisha Tanzania nchini Sweden, na Septemba Mosi, 2023 ilielezwa hadhi ya Ubalozi ya Dkt. Wilbroad Slaa imekoma rasmi.
Pia soma - Dkt. Slaa: Bado nina hadhi ya Ubalozi