Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Ameyasema hayo kupitia ClubHouse kujadili hotuba ya Tundu Antipas Lisu kulinganisha na hotuba ya Rais Samia hapo jana.
Dkt Slaa, amesema Lisu amezungumza mambo muhimu na msingi kuliko Rais Samia.
Anasema Dkt. Slaa kwamba, Rais Samia hajazungumzia rasilimali za nchi kwa mlinganyo wa wanufaika lakini amezungumzia masuala ya familia yake na viongozi wasaidizi wake. Samia hakuzungumzia masuala ya usalama na uhai wa raia hususan matukio ya utekaji nyara, kesi za kubumba na mauaji ya wakosoajj wake.
Amehitimisha kwa kusema hotuba ya leo ya Lisu imejali maisha na uhai wa Watanzania kuliko hotuba ya Samia hapo jana.
Ninamuunga mkono Tundu Lisu for Presidency akianzia na kupata uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Nawatakia heri ya Mwaka Mpya
Amandla