Dkt. Slaa: Tusitegemee muujiza kwenye kitu kinachoitwa Katiba

Si Chadema ndivyo wanavyo waambia wafuasi wao kuwa Katiba mpya ikija kila mwana chadema atapata furushi la pesa
Hoja nyingine zinakushusha DARAJA.
Lakini bado unayo nafasi ya kuzikabili hoja zinazotolewa na CHADEMA kuhusu uhitaji wa katiba mpya ambao ulikuwapo hata Dr Mihogo alipokuwapo.
 
Na umesahau alijiondoa chadema Kwa sababu muliwasafisha watu mliowaita mafisadi lowasa/sumaye na wengineo na mwenyekiti wa chadema kubadili Gia angani kumuuzia lowasa nafasi ya kugombea uraisi kupitia chadema
Haya mpeni uteuzi ndani ya chama chenu kuziba nafasi ya Hamza
 
Huyu mzee tangu alipopigwa na limbwata la Shuntama hana alikumbukalo
Jibu hoja acha kurukaruka km popcorn kwenye kikaangio.
Je, Chama chenu kina agenda inayohusu kutatua matatizo ya wananchi au ndio mmerukia katiba mpya?
 
Huyu naye ni spent force, hana lolote kichwani. AAkifanya mchezo anarudi Bongo kulim bamia maana huku hakuna supermarket atafanya kazi kama Canada! Ignore this nonsense man
Sasa hapo umejibu hoja ipi ktk aliyozungumza? Nyie ndio mnaofanya wapinzani waonekane mataahira mbele ya jamii.
 
Hii Katiba mpya inayopigiwa kelele ni kwamba kuna watu wanavutia kamba kwao ili waiendeshe serikali wanavyotaka , katiba wanayoitaka itakwamisha Mambo mengi mnoo asee Nadhan umeona South Africa waliamua kutumia katiba Yao kumtoa Zuma na kumfunga na naona mmejionea wenyewe machafuko yaliotokea huko, sasa ndo mjiulize Je lengo la katiba ni kuleta maendeleo katika nchi au machafuko katika Taifa, Democracy ni nzuri lakini Kwa upande wa pili inaeza ikawa Mwiba Kwa Maendeleo ya nchi , ndo maana China na Russia walivyoona wamepata ma Rais sahihi wakaona wawafanye maRais wa maisha maana kwenye nchi kikubwa ni Maendeleo ya watu sio kueneza propaganda za watu wa nje kupitia Kivuli cha demokrasia
 
Akili kubwa sana hiyooo
 
Dk Wilbrod Slaa, amesema suala la Katiba Mpya ni muhimu, lakini linahitaji maandalizi ya kutosha na ya msingi.
huyu Mzee bana, maandalizi gani yanahitajia kama watu wakijikusanya kufanya kongamano CCM yake inatuma askari wanakuja kuwapiga virugu na kuwafungulia mashitaka.

Mzee pumzika ule pesheni uliyopewa na CCM, sisi tunasonga mbele kuidai katiba mpya maana ndiyo njia pekee itakayotibu yote haya yanayoendelea nchini kwetu.
 
Mbowe sio gaidi
 
Slaa amepoteza akili zake asaidiwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…