Dkt. Slaa: Tusitegemee muujiza kwenye kitu kinachoitwa Katiba

Kuhusu uroda na familia, msamehe bure. We hujui tu utam wa wahaya na nguvu zao. Mengine uko sahihi. Amefeli pote, kufia dini na kufia watu.
 
Kwani nani amemwambia kuwa wananchi wanataka katiba mpya ili iwaletee miujiza?
Halafu ona alivyo mnafiki. Anasema inahitaji maandalizi ya muda mrefu. Sasa si ndiyo ilitakiwa maandalizi yaanze mapema, kwa mijadala na makongamano ili watu wapate muda mrefu wa kutoa madukuduku yao? Kukataza watu kufanya chochote si ndiyo kutafanya ije ipatikane ''katiba ya zimamoto'' kwa sababu watu hawatapata muda wa kujadili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…