Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Kinachomtokea Wilbroad Slaa ni matokeo ya usaliti mkubwa alioufanya, alikuwa katibu mkuu wa Chadema; aliendesha harakati nzito za chama .aliongoza maandamano makubwa kule Arusha vijana wakapigwa risasi wakafa akashiriki kuwazika, majeneza Yao yalipambwa kwa bendera za chama.
Wewe ulitoa hotuba nzito sana ya uzalendo; maandamano ya Mbeya, Nyololo, Dar wakati wa Kikwete ulikuwa mwiba mchungu sana.
Ni nini kilikufanya uende kuyala matapishi Yako? Roho za vijana uliowahamasisha uzalendo na wakawa mstari wa mbele hata wakapoteza maisha,.wao wamelala lakini Wewe ukarudi kuitumikia CCM huoni huo ni usaliti na ni balaa kwako?
Ukiwa balozi wa CCM, Mbowe alikuwa gerezani, Lissu alipigwa risasi hukuonekana hata kusikitika huoni kwamba ule ni uchawi? Ni nini kitakuwa ahueni kwako? Hata nikikuangalia usoni naona Nuru Yako imepotea kabisa.
Hii ni rasha rasha lakini yapo mambo yatakupata na huenda uzee wako hautakuwa mzuri hata kidogo.
Chutama Toka hadharani waombe radhi wanachadema nchi mzima! Tubu maandiko matakatifu yanasema aonywaye mara nyingi akishupaza shingo atavunjika na hatapata dawa.