GE2025 Dkt. Tulia Ackson achukua fomu ya kugombea Jimbo jipya la Uyole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackon, leo tarehe 25 Agosti 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya wananchi wa jimbo jipya la Uyole katika Uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Dkt. Tulia amechukua fomu hiyo katika ofisi za tume huru ya Uchaguzi zilizopo katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Ackson Tulia




​
 
anashindana na nani? upuuzi mtupu bloodbastard
 
Ama hakika kuna watu hawana mambo ya msingi ya kufanya
 
Form kwa ajili ya uchaguzi upi wapi lini? Tanzania hakuna Uchaguzi kuna maigizo tu bora ajitangaze mapema kuwa mbunge haramu wa kura hewa haramu za kishetani
 
Uchaguzi magumashi hauna baraka za wapiga kura ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
Ikipigwa reforms, wote hawa ni wantam!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…