Dkt. Tulia Ackson akabidhi nyumba kwa Mkazi wa Mbeya kupitia Tulia Trust

Dkt. Tulia Ackson akabidhi nyumba kwa Mkazi wa Mbeya kupitia Tulia Trust

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Kama ilivyo kawaida kipindi cha uchaguzi, zawadi za kimkakati ndizo hutawala kwa Wabunge kuelekea uchaguzi.

Leo, tarehe 11 Novemba 2024, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, amewasili katika Mtaa wa Manga Veta, Kata ya Ilemi, Jijini Mbeya. Dkt. Tulia anatarajiwa kukabidhi nyumba ya kuishi kwa Bi. Winfrida Kapingu, nyumba ambayo imejengwa kupitia taasisi yake ya Tulia Trust.
 
Back
Top Bottom