Dkt. Tulia Ackson anapopuuza kulipa ada ya Uanachama TLS sio jambo la kufurahia

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589

Ni jambo la Aibu Kwa Kiongozi Mkubwa wa namna hii hapa Nchini na Duniani.

Nashangaa likawa ni suala lilowachekesha makutano walocheka na kupiga makofi wengine kutaka kuangukia chini Kwa kucheka tu.

Hii inaonyesha namna gan hapa nchini Kila kitu kinachukuliwa poaaa poaa tu Kwa Viongozi ma Jamii.
 
Atambue kuwa hakuna ubichi wa kudumu
 
Anaona hawahitaji TLS tena. Anatesa kwenye matawi ya juu!
 
Nishanote kuwa viongozi wengi hawalipi au kuhuisha leseni za taaluma zao.

Angalia Madaktari wenye vyeo serikalini utakuta hawahuishi na kulipa Ada za MCT.

Wenye CPA(T), Wahandisi, .....

Huo ni mfano tu.
 
Lack of responsibilities

Labda amekuwa na fikra hasi kwasasa kuhusu TLS apewe muda kakumbushwa kwa mfano hai
 
Pensheni ya "Redio" ni full package, fringe benefits. Dadaa kaona haina haja na yupo sahihi. Hii life hii.
 
Nishanote kuwa viongozi wengi hawalipi au kuhuisha leseni za taaluma zao.

Angalia Madaktari wenye vyeo serikalini utakuta hawahuishi na kulipa Ada za MCT.

Wenye CPA(T), Wahandisi, .....

Huo ni mfano tu.
Inashangaza sana
 
Hicho kikundi cha kubweka bweka na kurushiwa mifupa kinayamaza mtu yeyote timamu hawez kutaka kujiunga nacho...

wengi ni for convenience tu, ila wakipata chance wanakihepa....

Tulia yupo sahihi.
 
Kwenye nafasi aliyonayo hata asipolipia hiyo TLS hakuna shida
 
nafikiri syo jambo jema kwa doctor wa sheria kulipa ada ya uanacha.for what reason .common

ni sawa na MASTERS OF MEDICINE KULIPIA LESEN MCT ETI MPAKA UPATAGE POINT SIJUI KADHAA.WHY? MASTERS DEGREE NI MWALIMU SASA UNATAKA ATAFUTE POINT ZA KUFANYA NINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…