Pre GE2025 Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kushinda kwa 100%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Rais wa Mabunge yote Duniani anatarajia kushinda kwa kishindo Uchaguzi ujao Jimbo la Mbeya (M) kwa kutimiza vyote aliyoahidi kwenye kampeni za 2020.

**Sugu tafuta kazi za kufanya. Tukutane 2030
 
Anatarajia bado.. Hayo ni matarajio..aendelee kutarajia
 
Rais wa Mabunge yote Duniani anatarajia kushinda kwa kishindo Uchaguzi ujao Jimbo la Mbeya (M) kwa kutimiza vyote aliyoahidi kwenye kampeni za 2020.

**Sugu tafuta kazi za kufanya. Tukutane 2030
Hata tukimshindanisha Tulia Mwansasu na boga, litashinda boga tu.

Acha kuwadanganya watu wa JF, sisi tuko Mbeya. Hakuna lolote zaidi ya Mbeya kuwa kijiji kikubwa chenye barabara za hovyo na bajaj tu
 
Rais wa Mabunge yote Duniani anatarajia kushinda kwa kishindo Uchaguzi ujao Jimbo la Mbeya (M) kwa kutimiza vyote aliyoahidi kwenye kampeni za 2020.

**Sugu tafuta kazi za kufanya. Tukutane 2030
Aliyekutuma kasahau katuma asiyekuwa na akili. Jaribu kwa namna nyingine
 
Back
Top Bottom