Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Ooh Karibu CCM ila usitegemee kupata vyeo haraka harakaKuna uzi humu unasema Sugu anahamia CCM😃
Anatarajia bado.. Hayo ni matarajio..aendelee kutarajiaRais wa Mabunge yote Duniani anatarajia kushinda kwa kishindo Uchaguzi ujao Jimbo la Mbeya (M) kwa kutimiza vyote aliyoahidi kwenye kampeni za 2020.
**Sugu tafuta kazi za kufanya. Tukutane 2030
OkayAnatarajia bado.. Hayo ni matarajio..aendelee kutarajia
Hata tukimshindanisha Tulia Mwansasu na boga, litashinda boga tu.Rais wa Mabunge yote Duniani anatarajia kushinda kwa kishindo Uchaguzi ujao Jimbo la Mbeya (M) kwa kutimiza vyote aliyoahidi kwenye kampeni za 2020.
**Sugu tafuta kazi za kufanya. Tukutane 2030
Aliyekutuma kasahau katuma asiyekuwa na akili. Jaribu kwa namna nyingineRais wa Mabunge yote Duniani anatarajia kushinda kwa kishindo Uchaguzi ujao Jimbo la Mbeya (M) kwa kutimiza vyote aliyoahidi kwenye kampeni za 2020.
**Sugu tafuta kazi za kufanya. Tukutane 2030
Kama atashinda njaa, sawaDkt. Tulia Ackson Mwansasu kushinda kwa 100%