Dkt. Tulia Ackson onesha uungwana. Omba radhi kwa kutumia jeneza na msalaba wakati wa kampeni 2020

Huyu sura yake kma kinyonga,mbegu chafu shapeless utafikiria wakiume
 
Waacheni wabebe msalaba, ni ishara ya kuutangaza ushindi wa Bwana Yesu Kristo
 
Kumbe unajua kuwa Ukristo ni dini ambayo haijaletwa na MUNGU..?
UKRISTO unatofautiana.
Uko ulioanzishwa na MUNGU na uko ulioanzishwa na binadamu.
UKRISTO unaohubiri wokovu wa roho za watu dhidi ya dhambi umeanzishwa na MUNGU( Kwa mujibu wa malaika Gabriel alipomwambia Mariamu mama yake YESU).
UKRISTO unaohubiri utajiri wa Mali za duniani ( fedha, magari, majumba ya kifahari) umeanzishwa na watu( Kwasababu, lengo hilo halijatajwa na malaika Gabriel kwa Mariamu).
 
Mkuu Milonji , kwanza asante kwa concern yako hii, msamaha wa tukio lile uliisha ombwa kitambo sasa ni baraka tele za Dr. Tulia, zinaendelea kumiminika jijini Mbeya!
  1. Kwanza mimi binafsi yangu, I don't support tukio lile or any act or omission deciphering the consecration of the dead iwe ni jeneza, kaburi na hata kuwataja vibaya marehemu au vitendo vyovyote ambavyo ni machukizo kwa Mungu wetu.
  2. Kwa kumbukumbu zangu, the initiator wa tukio lile la Mbeya sio Dr. Tulia, bali ni wana Mbeya, hivyo the onus ya the consequences ya tukio lile, does not fall behind Dr. Tulia, bali behind the initiators.
  3. Dr. Tulia was an innocent victim wa tukio lile, and was supposed kulilaani, kutosupport na kutoshiriki, but she is just a human being kama mimi na wewe, kwa kushiriki tukio lile bila kujua ni machukizo kwa Mungu.
  4. Msamaha wa kweli ni ule kujuta toka moyoni na kumuomba Mungu wako msamaha wako wewe na Mungu wako, hivyo at this juncture naomba nisiseme kama Dr. Tulia aliomba msamaha kwa Mungu wake au laa Ila
  5. Mwisho wa siku tunaangalia matokeo ya kilichokuja kutokea, kwanza Mungu alimbariki Dr. Tulia akampa ubunge wa Mbeya Mjini
  6. Pili Mungu akambariki akampa Uspika wa Bunge la JMT, hili la Uspika, hata mimi nilielezwa na nikalieleza humu Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
  7. Na Tatu, Dr. Tulia anakwenda kuichange jiji la Mbeya kuwa jiji la Kimataifa!. Mbeya unajengwa uwanja wa Kimataifa wa kudumu wa Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo!. Ile Nane Nane sasa, the venue for Nane Nane kitaifa ni Mbeya permanent!. Mungu awape nini Wana Mbeya?.
  8. Huu ni uthibitisho Dr. Tulia alitubu ndio maana anabarikiwa sana and you never know, kwasababu 2025, tumeanua twende na Mwanamke, wengi wanadhani mwanamke huyo ni lazima Mama!, someni hapa kwa makini mwanamke wa 2025
  9. Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
  10. Hivyo you never know...
Paskali
 
Samahani Kaka P unaweza kutukumbusha msamaha uliombwa lini, wapi na nani alieomba huo msamaha!!!???

Hii ni kwa faida ya tulionwengi ambao hatuna kumbukumbu hiyo ya ombi la msamaha juu ya tukio lile la kudhihaki hatma utu wetu ?

Kumbuka hata madhalimu wa haki za watu na wadhulumati wa mali za watu hubarikiwa maisha mazuri, wazinzi pia hupata wake wazuri sana. Je, inamaana hizo huwa ni baraka za kufuta udhalimu au dhambi zao!!!???

Kaka tuna kuangalia tu, huko unakoendea sasa unaanza kuchupa mipaka ya mapambio usifikiri Mungu haoni wala hasikii unanvyoviandika humu JF nakupa tahadhari Kaka P Mungu hachezewi eti kwa sababu ya utamu wa asali ya kulambishwa na Binadamu mwenzio utakuja kujuta Kaka P shauri yako !!!!

Unamiminiwa vikombe vya asali kwa malipo ya muda wa kukaa nyuma Key Board [emoji20][emoji20][emoji20]

Usijesema hatukukwambia haya endelea kuimba mapambio kutetea udhalimu, ongeza sauti huko nyuma hawakusikii vizuri ....!!!

Nakwita x 3 MAYALLA, MAYALLA, MAYALLA

Mungu ni mkali sana hasa kwa watetezi wa udhalimu utakuja kuadhirika Ndugu yangu acha hiyo tabia shauri yako !!!
 
Huyu ajuza ni jeuri haswa pamoja na basha wake kufa lakini bado anajiona yupo juu ya nchi
 
Labda MUNGU wenu wa Chato ambaye alikuwa kifo cha aibu baada ya kutesa watoto wa watu kwa chuki zake
 
CCM ndio inayotakiwa kuomba msamaha na si Dr. Tulia, kama ambavyo Simba alivyolazimishwa aombe msamaha na si msanii Tundaman
Wote wanawajibu wa kuomba Msamaha, CCM Pamoja na Dr Tulia.

Tukio lilifanywa na Mwana-CCM kwenye Mkusanyiko wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…