upupu255
Senior Member
- Sep 4, 2024
- 119
- 144
Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameonyesha ukarimu kwa kuwalipia mashabiki wa Klabu ya Mbeya City tiketi 1000, ili kuipa nguvu katika mechi dhidi ya African Sports. Mchezo huo wa Ligi ya Championship ya NBC ulipigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Jumatatu, Februari 17, 2025, kuanzia saa 10:00 jioni.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hatua hii ya Dkt. Tulia inalenga kuongeza hamasa kwa mashabiki na kusaidia timu ya Mbeya City kupata sapoti kubwa katika harakati zake za kusaka nafasi ya kurejea Ligi Kuu ya NBC. Mechi hiyo ilimalizika kwa Mbeya City kushinda bao 5-2.
Msimo wa Ligi baada ya mzunguko wa 19