Dkt. Tulia amjibu Mbunge aliyehoji kuhusu Uwanja wa Ndege Msalato. Asema Rais kashasema utajengwa

Sishangai! Hata Jiwe mwenyewe alisema "wengi hapa hamkuchaguliwa"

Kiufupi tulipata wabunge wengi nje ya mchakato halali wa kura 2020!

I'm not suprised at all!
 
Miradi mingi iliyoachwa na JPM haitaendelezwa kwa sababu uwezo wa kukusanya fedha wa serikali hii ni mdogo sana watakuja na visingizio kua haina tija tunaipiga chini ukweli ni kwamba hawana fedha
Sahihi
 
Naibu Spika hajui kazi na majukumu ya Bunge? Duh
 
Miradi mingi iliyoachwa na JPM haitaendelezwa kwa sababu uwezo wa kukusanya fedha wa serikali hii ni mdogo sana watakuja na visingizio kua haina tija tunaipiga chini ukweli ni kwamba hawana fedha

Beth, siamini ulichokiandika hapa. Naibu Spika ni msomi wa hali ya juu mwenye shahada ya uzamivu ya sheria. Siamini anaweza kusema upupu

Kama ulivyoeleza. Siamini!
 
Daktari(PhD) wa sheria.. Anajibia mhimili mwingine kwa jazba. Wabunge ndo wanapitisha bajeti,kusimamia serikali... Hakuna bajeti ya huo uwanja,Rais atajenga kutoka fungu lipi... Mimi na Magufuli ni kitu kimoja!!
 
Hivi ni lini tuliwahi kuwa na vipaumbele sisi wabongo? Kila likitokea la kutokea tunajiamulia tu kama makondooo
 
Kauli ya Rais ni agizo. Naibu spika amemkumbusha mbunge kuwa jana Rais aliliongelea suala hilo alipokutana na wanawake, hivyo aondoe wasiwasi kwa kuuliza swali kuhusiana na kile kilichoelezwa na mamlaka ya juu kabisa ya nchi.
 
Miradi mingi iliyoachwa na JPM haitaendelezwa kwa sababu uwezo wa kukusanya fedha wa serikali hii ni mdogo sana watakuja na visingizio kua haina tija tunaipiga chini ukweli ni kwamba hawana fedha
Miradi iliyo achwa haitosimama. haswa ile ambayo ujenzi umeshanza.
sasa kama mradi hauko kwenye bajeti utatekelezwaje?
 
Kauli ya Rais ni agizo. Naibu spika amemkumbusha mbunge kuwa jana Rais aliliongelea suala hilo alipokutana na wanawake, hivyo aondoe wasiwasi kwa kuuliza swali kuhusiana na kile kilichoelezwa na mamlaka ya juu kabisa ya nchi.
Huyo mbunge kajibiwa kijeuri.Japo sioni tija ya huo uwanja kwa wakati huu.
Ila usishangae sana naibu waziri alimjibu mbunge kuwa;
WANANCHI WAPANDE PILIPILI NA KUFUGA NYUKI MASHAMBANI Baada ya mbunge kuhoji kwanini tembo wanakula mazao ya wananchi nakuua watu.
 
Alijibu hivyo kwa kuwa uwanja huo amepatiwa mkopo na benki ya Afrika kwa hiyo serikali haitatoa pesa.
 
Sasa akina mama wameshika UTAMU, sorry haramu.... Ngoja tupate Habari yake. Huoni SSH aliyo busy kumobilise support badala ya kuchakalika na kazi.

Nafikiri ule utabiri wa President Ford ulikuwa unaihusu Tanzania na siyo USA..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…