Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Kwa hiyo mbunge hana haki kuuliza kwasababu Raid kasema?mini maana ya MIHIMILI.Dah! Maspika wetu hawa yaani
Hili swali ilitakiwa kabisa spika ndio aulize au kama mbunge akiuliza basi ilitakiwa spika amuunge mkono kuhitaji majibu kujua iwapo uwanja bajeti yake haijatengwa utajengwaje!
Angalia jibu lake lakini "Rais amesema Uwanja utajengwa, kwa hiyo kama upo au haupo kwenye Bajeti Rais kashasema, ndio Sheria hiyo"
OK. nimeiona clip kwenye bandiko namba 43 hapo juu.Yapo hivyo hivyo mkuu, nimeona video kwa Millard Ayo...
Spika mpumbavu kuwahi kutokea,vyeo vya kupeana matokeo yake ndiyo majibu haya.
Katika kipindi cha maswali na majibu, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, amesema Naibu Waziri hawezi kusema kitu tofauti na alichozungumza Rais.
Amesema hayo baada ya Mbunge Kunti Majala kuhoji ni lini Serikali itajenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato akisema haupo kwenye Bajeti ya 2021/22.
Dkt. Tulia ameeleza, "Rais amesema Uwanja utajengwa, kwa hiyo kama upo au haupo kwenye Bajeti Rais kashasema, ndio Sheria hiyo".
Ila mwendakuzimu alikopa sana pesa, bora Mungu aliingilia kati, tungekoma hakikaMiradi mingi iliyoachwa na JPM haitaendelezwa kwa sababu uwezo wa kukusanya fedha wa serikali hii ni mdogo sana watakuja na visingizio kua haina tija tunaipiga chini ukweli ni kwamba hawana fedha
Lkn kana pesa na mamlakaHamnaga ka mtu kajinga kama ka Tulia, kwanza kabayaaa
Muuliza swali na aliyejibu hawajitambui kwenye vipaumbeleUmeelewa kiini cha swali alilouliza mbunge na majibu ya Naibu spika?
Tulia ni zao halisi la mwendazakeBora hata Ndugai huwa anaunga mkono hoja zenye mashiko kama hiyo!
Kajinga haswaaaaHamnaga ka mtu kajinga kama ka Tulia, kwanza kabayaaa
Hilo jibu ndio lilikuwa litolewe bungeni, kwani siri?Msalato Airport inajengwa kwa mkopo kutoka AFDB ambao ulishapitishwa kitambo sana, kuna tatizo kubwa kwa hawa wawakilishi wa wananchi, kabla ya kuropoka bungeni wanatakiwa kufanya utafiti
Ni wazi pia Dkt. Tulia hana ufahamu wa kinachoendelea kwa namna alivyomjibu kiwepesi huyo mbunge