Pamoja na yote, ni Mwalimu wangu wa Sheria za Mirathi, na Sheria za Familia na Ndoa, ni Spika wetu, ni Mtanzania mwenzetu.
Dr. Tulia pamoja na yote, ana kipaji haswa.
Tumpe ushirikiano. Anatuwakilisha.
Mwingine anayekuja na ninamuombea sana ni Jokate Urban Mwegelo.
Hawa wamama ni wa Kimataifa.
Zamani alikuwepo Prof Tibaijuka, Dr. Mwele (RIP), Dr. Asharose bado yupo Kimataifa et al.
Mungu mbariki Dr. Tulia, na Jokate. Mungu ibariki Tanzania ya Kimataifa.
Tanzania ni Baba wa Siasa za Afrika na sasa Duniani.