johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dkt. Akandunduma anasema kimsingi Dr Tulia hakupaswa kujiuzulu nafasi ya Naibu Spika katika mchakato wa mchujo ndani ya chama bali pale atakapochukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika kwa Katibu wa bunge la JMT.
Je, yuko sahihi.
Binafsi nimeunga mkono hoja ya Dr Akandunduma.
Je, yuko sahihi.
Binafsi nimeunga mkono hoja ya Dr Akandunduma.