johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani watumishi wa umma wanatakiwaga kujiuzulu lini wakiamua kugombea ubunge?Dr Akandunduma anasema kimsingi Dr Tulia hakupaswa kujiuzulu nafasi ya Naibu Spika katika mchakato wa mchujo ndani ya chama bali pale atakapochukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika kwa Katibu wa bunge la JMT.
Je, yuko sahihi.
Binafsi nimeunga mkono hoja ya Dr Akandunduma.
Wakishapitishwa na vyama vyao baada ya kura za maoni.Kwani watumishi wa umma wanatakiwaga kujiuzulu lini wakiamua kugombea ubunge?
Bungeni huwa kuna kuchukua form ya kugombea uspika?Dkt. Akandunduma anasema kimsingi Dr Tulia hakupaswa kujiuzulu nafasi ya Naibu Spika katika mchakato wa mchujo ndani ya chama bali pale atakapochukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika kwa Katibu wa bunge la JMT.
Je, yuko sahihi.
Binafsi nimeunga mkono hoja ya Dr Akandunduma.
Mgombea huru anachukulia wapi fomu yake?Bungeni huwa kuna kuchukua form ya kugombea uspika?
Mh...Baadaya kura za maoni kinachofuata ni kupita bila kupingwa baada ya wapinzani woote kuenguliwa na ndugu zetu wa NEC.Ni win win siatuation.Wakishapitishwa na vyama vyao baada ya kura za maoni.
Uspika hauna mgombea huru. Wagombea wote hudhaminiwa na vyama vya siasa.Mgombea huru anachukulia wapi fomu yake?