Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kwa wale tuliomfuatilia vzr leo bungeni kwenye hoja ya kupitisha azimio la bunge la kukubali makubaliano baina ya Tanzania vs Dubai watakabuliana na mimi kuwa mama huyu ni msomi hasa wa sheria.
Kiukweli ukiwasikiliza akina Tundu Lissu wanaosifiwa kujua sheria ni upuuzi mtupu, daktari huyu ni msikivu na mwelewa sana wa sheria, nimewasikiliza wabunge mmoja mmoja wakati wakichangia, ama hakika Dkt Tulia ni hazina kubwa nchi hii.