johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mnataka nini?
Nyie mtaletewa helicopter!Na sisi huku Namtumbo tunataka treni ya umeme pia.
Mimi ni mwanakanda ya nyanda za juu kusini, lakini naona huyu dogo naye hamnazo, kumbe kuwa na PhD hakumaanishi una akili, diplomasia, uzalendo na uelewa mpana, miongoni mwa maeneo yaliyonemeka huko mapema hapa nchini ni Nyanda za juu kusini, walipata TANZAM na TAZARA, Kanda ya Magharibi na Ziwa walikuwa na reli ya kati tu barabara za vumbi kwa muda mrefu, sasa leo hawa wengine wanapelekewa sgr hata kabla haijaisha na yeye tulia anataka... "aibu sana"
Mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia amemtaka Waziri wa Ujenzi kuangalia namna ya kuiwezesha TAZARA kuwa na treni ya umeme.
Dr. Tulia amesema Tanzania ni moja na Wananchi wa pande zote wanahitaji maendeleo hivyo Kanda ya Nyanda za Juu Jusini wamechoka kuwa washangiliaji.
Kadhalika Dr Tulia amelalamikia Jiji la Mbeya kutopewa hadhi na Huduma stahiki kama ilivyo katika majiji mengine na badala yake Mbeya imekuwa kama Halmashauri.
Tulia amesema miundombinu ya Mbeya ni mibovu sana na miaka yote wamekuwa wakipewa bajeti ndogo isiyokidhi chochote.
Dr. Tulia alikuwa akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi.
Source: Bungeni
TAZARA TU IMEWASHINDA

PhD ukiwa nayo pia uwe na mwenza wa kukushauriMimi ni mwanakanda ya nyanda za juu kusini, lakini naona huyu dogo naye hamnazo, kumbe kuwa na PhD hakumaanishi una akili, diplomasia, uzalendo na uelewa mpana, miongoni mwa maeneo yaliyonemeka huko mapema hapa nchini ni Nyanda za juu kusini, walipata TANZAM na TAZARA, Kanda ya Magharibi na Ziwa walikuwa na reli ya kati tu barabara za vumbi kwa muda mrefu, sasa leo hawa wengine wanapelekewa sgr hata kabla haijaisha na yeye tulia anataka... "aibu sana"
Yaani wewe!Nyie mtaletewa helicopter!
hahahahaaaa na nyasa pia tunataka.huku kwetu ruvuma naona tunachezewa madini yetu yananufaisha wengine tu.tuna ziwa lkn serikali haiwekezi kwenye hilo ziwa hata maji ya kunywa tunakosa.Na sisi huku Namtumbo tunataka treni ya umeme pia.
Na unga mkono, na kizuri wanayo reli ya Tazara, ni kuibadili tu ili iwe hiyo ya umeme n.k. tatizo sasa hivi haitumiki kikamilifu ili kuleta tija, waanze na hilo
Mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia amemtaka Waziri wa Ujenzi kuangalia namna ya kuiwezesha TAZARA kuwa na treni ya umeme.
Dr. Tulia amesema Tanzania ni moja na Wananchi wa pande zote wanahitaji maendeleo hivyo Kanda ya Nyanda za Juu Jusini wamechoka kuwa washangiliaji.
Kadhalika Dr Tulia amelalamikia Jiji la Mbeya kutopewa hadhi na Huduma stahiki kama ilivyo katika majiji mengine na badala yake Mbeya imekuwa kama Halmashauri.
Tulia amesema miundombinu ya Mbeya ni mibovu sana na miaka yote wamekuwa wakipewa bajeti ndogo isiyokidhi chochote.
Dr. Tulia alikuwa akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi.
Source: Bungeni
Mmeshaletewa meli!hahahahaaaa na nyasa pia tunataka.huku kwetu ruvuma naona tunachezewa madini yetu yananufaisha wengine tu.tuna ziwa lkn serikali haiwekezi kwenye hilo ziwa hata maji ya kunywa tunakosa.