johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akikusikia Sugu atakucheka!Tulia hakuna wa kumchagua labda apewe mbeleko
hana ushawishi wowote
Subiri oktoba utakionaKwa kipi?
Yani ajenge nyumba Mbeya halafu akagombee kwingine bwashee.Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson amesema tarehe 24 Julai atatangaza jimbo atakalogombea Ubunge kwani kwa sasa kipyenga ndani ya chama bado hakijapulizwa.
Dkt. Tulia Ackson amekuwa akihusishwa na majimbo ya Mbeya Mjini na Kawe ambayo wananchi wameonesha kutaka mabadiliko ya wabunge.
Chanzo: Clouds media!
Siasa ni sayansi bwashee!Yani ajenge nyumba Mbeya halafu akagombee kwingine bwashee.
She is nothing as her seemstulia hakuna wa kumchagua labda apewe mbeleko
hana ushawishi wowote
Sio kutangaza tu, alishaanza kampeni mapema tu. Sema ndio hivyo tu, sisiemu, tume ya maadili (madili?) na tume ya uchaguzi waliamua kufumbia macho.Alisha tangaza muda mrefu kwa vitendo vyake