Michael Uledi
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 132
- 323
Hakuna Hisani kubwa ambayo aliyekuwa Mbunge wa Mbeya kwa tiketi ya Chadema Osmond Mbilinyi amewahi kuipata kutoka kwa Mbunge wake na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dr Tulia ACKSON MWANSASU!
Habari nyepesi kutoka "kitaa" Mbeya zinasema kama Mr II angekuwa na busara na hekima alipaswa ampe Dr Tulia ACKSON "Maua Yake" kwa ombi la kugawanya jimbo la Mbeya!
Mr II Sugu anajua kabisa suala la kuligawa Jimbo la Mbeya mjini kutokana na ukubwa lilianzia kwake baada ya kushindwa kutoa huduma kwa WANANCHI wake wakati huo Sugu akiwa Mbunge!
Jiji la Mbeya/Jimbo la Mbaya mjini lina Kata 36+ tofauti na hali halisi kwamba angalau jiji liwe na Kata 18.Mh Spika kwa lugha rahisi anaongoza majimbo mawili ndani ya Bajeti ya maendeleo moja!
Ajenda hiyo ya kugawa jimbo imewahi kupigiwa upatu na Sugu mwenyewe baada ya kushindwa kabisa kuwafikia watu wote ndani ya Jimbo la Mbeya!Ongezeko la watu ndani ya Jiji la Mbeya imekuwa pia changamoto kwa mh Spika kuweza kuwafikia watu wengi/wote.
Ni kichaa tu ndiye anaweza kudhani Mh Spika anataka kumkimbia Sugu!Mh Spika leo akiamua arudi pale kukaja(Busokelo)anakomba kura zote na kuwa Spika tena!Mh Spika akiamua kwenda Jimbo lolote Nchi hii anapewa "maua yake" na kuwa Spika tena!Iwe Dodoma,iwe Singida,iwe Songwe,iwe Kyela.
Hivi mtu wa kariba hii anamwogopaje Rapper MR II?
Mpaka dakika hizi kwa sisi tuliopo vijiwe vya Mbeya,Sugu ana uhakika wa kurudi "Mgengoni" kwa hisani hii ya Spika Tulia!Chadema na Sugu wanapaswa wampe "Maua yake" Mh Spika!
Ni kichaa tu anayedhani Chadema inaweza kuishinda CCM kwa sasa!Chadema ipi?hii ya Mzee Freeman Mbowe na Sugu?
"Manunu amaphuliiii".