Dkt. Tulia tayari kashampa "Chakula" Sugu

Unaona kuwa Tulia ni kigogo sana hawezi kuangushwa kwenye uchaguzi?
Nenda kamuulize mzee Chigwemisye atakueleza.
Zaidi ya hayo tunategemea 2025 kutakuwa na tume iliyo huru ndio uchaguzi ufanyike, jee Tulia yuko kwenye kaliba ya wanaotishia kwa kupendwa?
Usije kuwa unachukua maoni kutoka kwa waratibu wa Tulia marathon basi ukajua hiyo ndio Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…