Dkt. Wahome Ngare: 80% ya wanawake wajawazito waliochoma chanjo ya Covid19 walipoteza ujuauzito ndani ya miezi mitatu ya mwanzo

Dkt. Wahome Ngare: 80% ya wanawake wajawazito waliochoma chanjo ya Covid19 walipoteza ujuauzito ndani ya miezi mitatu ya mwanzo

80% ni kubwa sana kiasi kwamba ilitakiwa ishuhuduwe kiurahisi katika jamii KWA wale wajawazito waliochanja
 
me nilivyoona tu wazungu walivyokua wanapost Side effects walizopata post zao zinafutwa na kufungiwa ac tweeter nimesema hapa Hamna kitu wacha nife tu sichomi
 
Halafu vivulana vilivyochoma chanjo hiyo leo viko mstari wa mbele vikiimba "KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI."
Chanjo ile ni balaa, imeondoa maarifa na utashi wa kibinadamu.
Hakuna lolote, jiwe aliwalisha ujinga tu
 
80% ni kubwa sana kiasi kwamba ilitakiwa ishuhuduwe kiurahisi katika jamii KWA wale wajawazito waliochanja
Kwetu Afrika waliochoma ni wachache sana, ni almost sawa na zero..,ndio maana hukuina effect, ila katika hao wachache, 80% wamepata hilo tatizo
 
Halafu vivulana vilivyochoma chanjo hiyo leo viko mstari wa mbele vikiimba "KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI."
Chanjo ile ni balaa, imeondoa maarifa na utashi wa kibinadamu.
Ukiwaona wanaimba hivyo jua tu ndiyo wana kudinyia mke wako ...kwa hiyo usiwaone wapumbavu kama wewe unamiliki mke
 
Hahaha, u r even more ridiculous than i thought, sasa WHO kukanusha tuhuma dhidi yake cha ajabu nini? Ulitaka wakiri kwamba ni kweli? , statistics zimeinyesha 80% walimiscarry, Au labda uniambie hiyo video ni Fake, and the doctor is a fake , labda…; au utueleze, huyo doctor ana maslahi gani..
Statistics gani? Hujaweka hata link.
 
Back
Top Bottom