FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hata kuchangia tu mtu anapata woga 😂, tuliwaambia sana hapa, lakini wapi!Umeamua uwapee stress 🤣
Apia....😳Mtoto wangu mmoja anaitwa Samia alidungwa yuko hoi huko.
min -me na Mpaji MunguHalafu vivulana vilivyochoma chanjo hiyo leo viko mstari wa mbele vikiimba "KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI."
Chanjo ile ni balaa, imeondoa maarifa na utashi wa kibinadamu.
Kwa hii jua inavowaka hapa nikatafute takeaway pepsi ya bariiiiiiiiiiidi
🤣🤣 Unaenda kudilute chanjo sio?Kwa hii jua inavowaka hapa nikatafute takeaway pepsi ya bariiiiiiiiiiidi
Chanjo ya mwisho nlichomwa sindano zamani sana nlikuwa Darasa la nne Manesi walikua wanakuja shuleni🤣🤣 Unaenda kudilute chanjo sio?
Hakuna lolote, jiwe aliwalisha ujinga tuHalafu vivulana vilivyochoma chanjo hiyo leo viko mstari wa mbele vikiimba "KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI."
Chanjo ile ni balaa, imeondoa maarifa na utashi wa kibinadamu.
Kwetu Afrika waliochoma ni wachache sana, ni almost sawa na zero..,ndio maana hukuina effect, ila katika hao wachache, 80% wamepata hilo tatizo80% ni kubwa sana kiasi kwamba ilitakiwa ishuhuduwe kiurahisi katika jamii KWA wale wajawazito waliochanja
Na kuna mwanamke aliwahamasisha wanawake wenzake wakadungweTafiti hupingwa kwa tafiti.
Kenyan Doctor exposes World Health Organization’s dark agenda to depopulate Africa through vaccines.
View attachment 3149318
Kuna kahaba mkuu hapa nchini anaficha uchafuzi alioufanya kwa kuwageuza watanganyika nyani wa chanjo feki za covid 19Tafiti hupingwa kwa tafiti.
Kenyan Doctor exposes World Health Organization’s dark agenda to depopulate Africa through vaccines.
View attachment 3149318
Ukiwaona wanaimba hivyo jua tu ndiyo wana kudinyia mke wako ...kwa hiyo usiwaone wapumbavu kama wewe unamiliki mkeHalafu vivulana vilivyochoma chanjo hiyo leo viko mstari wa mbele vikiimba "KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI."
Chanjo ile ni balaa, imeondoa maarifa na utashi wa kibinadamu.
Hahaha, u r even more ridiculous than i thought, sasa WHO kukanusha tuhuma dhidi yake cha ajabu nini? Ulitaka wakiri kwamba ni kweli? , statistics zimeinyesha 80% walimiscarry, Au labda uniambie hiyo video ni Fake, and the doctor is a fake , labda…; au utueleze, huyo doctor ana maslahi gani..
Statistics gani? Hujaweka hata link.Hahaha, u r even more ridiculous than i thought, sasa WHO kukanusha tuhuma dhidi yake cha ajabu nini? Ulitaka wakiri kwamba ni kweli? , statistics zimeinyesha 80% walimiscarry, Au labda uniambie hiyo video ni Fake, and the doctor is a fake , labda…; au utueleze, huyo doctor ana maslahi gani..