Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Lakini, kutokana na maelezo huyu ndugu hakuwepo shambani, aliyekuwepo ni Mdogo wake mohamed, na aliachwa akilima shambani na treckta, sasa, haya maelezo ya njiani kuelekea hnyumbani aliyapata wapi?
Hii habari mimi nilisikia kulikua na swala la mahusiano ya kimapenzi kati ya....... na......
Khaaaaa jamaa wa watu yuko poa tu mbona? Au kwa sababu ni mfupi ndio maana unamsingizia?muuuuuuuuuh muuaji angekuwepo leo, hakika angemuua afisa elimun wa mkoa wa mbeya bwana JJK, MAANA NI MCHAFU KWA WAKE ZA WATU MIE SIJAONA
Hata ivo tabia ya wazee wa kihehe kuwadabisha viongozi wa serikali haikukoma...Mzee Aloyce Kisonga(moja kat ya wazee maarufu Iringa) anaelezea kuna wakat kulikuwa na mkuu wa Mkoa Iringa akiitwa SHAMSHANA(?),ktk sherehe moja ya kitaifa alihmiza wahehe walime mazao ya biashara,badae akaja kuwatukana kuwa wanakazana na ya biashara badala ya chakula..hal inayopelekea njaa...wakat akiongea hayo ilikuwa Uwanja wa Samora,mara mzee from no where akapandsha jukwaan akamtandika makofi RC...eti kwa nini kawatukana mbele ya wake zao?wakat ndo alihmiza kilimo cha mazao ya biashara?...MHEHE ni mtu wa kisilan sana..wana hasira
Lakini, kutokana na maelezo huyu ndugu hakuwepo shambani, aliyekuwepo ni Mdogo wake mohamed, na aliachwa akilima shambani na treckta, sasa, haya maelezo ya njiani kuelekea hnyumbani aliyapata wapi?
Hii habari mimi nilisikia kulikua na swala la mahusiano ya kimapenzi kati ya....... na......
Nafikir Majid amefanya mahojiano na mtoto wa marehemu(jambo zuri sana)...lakn Aman kama mtoto wa marehemu kuna vitu anaweza kuviweka kooni kama heshma kwa Mzee...nlipata kukutana na Mzee Mwambugi(rafik mkubwa wa Mwamwindi)mkaz wa Nyang'oro...ni mzee sana,alinisimulia meng sana mana yeye ndo mtu wa tatu ktk wale "wanted"..kilichomsaidia yeye alikuwa na urafiki na Siyovelwa(aliyekuja kuwa mkuu wa Usalama wa Taifa?)...ninayo mahojiano yake ktk Audio
Kwa hiyo wenye wake zao kabila hii inakuwaje wanapokasirika?Halafu wakikasirika huwa wana tendency ya kujiua.....hii inaanzia kwa mtemi wao mkwawa aliyejiua!
Mzee Amani amesimulia vizuri hadithi ya kifo cha Dr.Wilbert Kleruu (Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa) kwa kupigwa risasi mbili na Baba yake mzazi mzee Said Mwamwindi,hadithi hii tumewahi kuisikia kwenye version nyingi tofauti,lakini mahojiano ya Bwana Mjengwa yametoa picha nzuri na kupunguza maswali mengi,Swala la msingi ambalo Mzee Amani hakulizungumzia ni kwamba Mzee Kleruu alifanya nini alimpomsikia Mzee Mwamwindi anamuagiza mkewe akalete bunduki? hakuhisi kuwa anataka kuuliwa? alikuwa na bastola kiunoni hakujaribu kujihami?Vinginevyo hadithi ni nzuri na ambayo imefungua Historia hiyo ya mauaji ya kinyama aliyofanyiwa Msomi na kiongozi yule aliyeaminiwa sana na Mwalimu Nyerere.Dr Kleruu alikuwa na PHD ya kilimo aliyosomea United States na alizikwa kwao Kilimanjaro.
aknowledge your source plz, otherwise i declare plagiarism
Wahehe hawajawasamehe Sapi na Mwakawago, mpaka leo kwa kushindwa ku-secure realese ya Mwamwindi from Prison mpaka kunyongwa, Ninaiamini version ya kwamba kulikuwa na personal ishus kati ya the two kuhusu women.
- HOWEVER: Eti Dr. Kleruu nini record ya Ushujaa wake kwa Taifa?