britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
DM tower business Centre Moscow inaungua Muda huu, ni kituo mashuhuri Kwa biashara ni Kama ilivyo kuwa WTC ya Marekani Au ZILE za Abudhabi na Dubai,
Majengo pasha mengine manne yote yameteketea Kwa moto ambao chanzo chake ni hujuma kutoka ndani ya MOSCOW kutokana na vita inayoendelea sasa
Warusi wamechoka
Majengo pasha mengine manne yote yameteketea Kwa moto ambao chanzo chake ni hujuma kutoka ndani ya MOSCOW kutokana na vita inayoendelea sasa
Warusi wamechoka