Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui chochote wewe. Na huo siyo msaada. Kwanini mnapenda kujishushia heshima? Kama huelewi kitu piga kimya siyo kujifanya mjuaji mjuaji tu kumbe kichwani hewa.Dont always believe cheap politics... Huo ni msaada wa siku nyingi
Commencement: March 2015 halafu unatoa povu tu hapaHujui chochote wewe. Na huo siyo msaada. Kwanini mnapenda kujishushia heshima? Kama huelewi kitu piga kimya siyo kujifanya mjuaji mjuaji tu kumbe kichwani hewa.
Hujui hata meya yupo chini ya nini? Meya hana uwezo wa kusaini mkataba wowote. Meya ni mwakilishi wa wananchi na siyo mtumishi wa serikali. Meya hana mshahara, meya hupata posho.
Vijana hebu acheni ushamba bana, mnaaibisha taifa letu.
Mradi huu ninaujua mwanzo mwisho fuatilia comment zangu utaona ninauelezea.
Na mradi huo umeanza mwaka 2015 - 2020.
Nenda makumbusho utaona
Check hizi picha za kingo za bahari Makamu Raisi Alienda kutembelea juzi.
![]()
![]()
![]()
Angalia vilevile mitaro ya maji inaendela kujengwa.
![]()
Zungukia Dar es salaam kijana acha kupiga porojo za siasa za kishamba.
Mnakera sana, ukite unakaa kwa dada tako.
View attachment 684132
Projects : Dar es Salaam Metropolitan Development Project | The World Bank
Nini tena..!!!!mbona povu hivyo...???Hujui chochote wewe. Na huo siyo msaada. Kwanini mnapenda kujishushia heshima? Kama huelewi kitu piga kimya siyo kujifanya mjuaji mjuaji tu kumbe kichwani hewa.
Hujui hata meya yupo chini ya nini? Meya hana uwezo wa kusaini mkataba wowote. Meya ni mwakilishi wa wananchi na siyo mtumishi wa serikali. Meya hana mshahara, meya hupata posho.
Vijana hebu acheni ushamba bana, mnaaibisha taifa letu.
Mradi huu ninaujua mwanzo mwisho fuatilia comment zangu utaona ninauelezea.
Na mradi huo umeanza mwaka 2015 - 2020.
Nenda makumbusho utaona
Check hizi picha za kingo za bahari Makamu Raisi Alienda kutembelea juzi.
![]()
![]()
![]()
Angalia vilevile mitaro ya maji inaendela kujengwa.
![]()
Zungukia Dar es salaam kijana acha kupiga porojo za siasa za kishamba.
Mnakera sana, ukite unakaa kwa dada tako.
View attachment 684132
Projects : Dar es Salaam Metropolitan Development Project | The World Bank
Nani analeta povu? Hapa ninawaelewesha nyie msiojua.Commencement: March 2015 halafu unatoa povu tu hapa
Sawa, whatever the case... Its donors money sio our own source... Punguza povu haya ni maongezi,Nani analeta povu? Hapa ninawaelewesha nyie msiojua.
Mradi umeanza utekelezaji wake na tunaona mabadiliko. Nenda stendi ya makumbusho utaona, Nenda kwenye kingo za bahari chuo cha mwalimu nyerere utaona. Mitaro ya maji Buguruni Mivinjeni, Sharifu Shamba na Mtoni kwa Azizi Ali utaona maendeleo ya project.
Acha ushamba wewe.
Eti not our own money? Kwani hata kama ni mkopo who will pay back the loan?Sawa, whatever the case... Its donors money sio our own source... Punguza povu haya ni maongezi,
Umesoma lakini au ndiyo roho mbaya za kishetani kulazimisha vitu? Nimekupatia link usome sasa unaendelea kukazania tu issue yako.Sawa, whatever the case... Its donors money sio our own source... Punguza povu haya ni maongezi,
Hivi kwani ukikopa pesa sehemu hiyo pesa inakuwa yako au inabaki kuwa ya yule uliyemkopa!Eti not our own money? Kwani hata kama ni mkopo who will pay back the loan?
Inaonekana hujui mambo yoyote. Kwanza nikiona mtu anachanganya herufi na kuweka X huwa ninamdharau hapo hapo na kumuona ni mtoto mdogo sana yaani yupo primary school. Uelewa wako unajieleza wenyewe kuwa wewe ni mfinyu na upeo wako ni mdogo.Sasa kujenga mitaro na Kongo za bahari ndo miradi ya metropolitan hiyo,kuwen xriac basi nyie wahenfa wetu
Swali la msingi,mitaro na Kingo za bahari ndio miradi ya Dar metropolitan ambayo mnajisifia toka 2015?Toa utoto wako hapa peleka facebook. Hapatunaongea mambo ya maana.
Haaa! Hivi kumbe uzee nao ni ugonjwa wa akili,aisee kwa comment hizi uzee wako umechukua sura mpya,watu dizaini yako ndio wanasababisha kada za uzee idharaulikeNaona umeanza mambo yako ya ushoga. Nimekwambia hapa siyo FB.
Mshamba wewe ambaye huwezi eleza bila kukakshfu na mbumbumbu ni weweNani analeta povu? Hapa ninawaelewesha nyie msiojua.
Mradi umeanza utekelezaji wake na tunaona mabadiliko. Nenda stendi ya makumbusho utaona, Nenda kwenye kingo za bahari chuo cha mwalimu nyerere utaona. Mitaro ya maji Buguruni Mivinjeni, Sharifu Shamba na Mtoni kwa Azizi Ali utaona maendeleo ya project.
Acha ushamba wewe.
Uwezi uka mjaji kwa kuchanganya herufiInaonekana hujui mambo yoyote. Kwanza nikiona mtu anachanganya herufi na kuweka X huwa ninamdharau hapo hapo na kumuona ni mtoto mdogo sana yaani yupo primary school. Uelewa wako unajieleza wenyewe kuwa wewe ni mfinyu na upeo wako ni mdogo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo anazungumzia Mradi wa maendeleo ya uboreshaji Jiji la Dar es salaam Mradi unaogharimu takribani Tsh Bilion 660.